Bonn,
Asubuhi na mapema tu Radio Deutch Welle Idhaa ya Kiswahili inayorusha matangazo yake mjini
Bonn,Ujerumani,
ilimwamkia mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja kiongozi
wa bendi maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka
FFU-Ughaibuni.
katika mahojiano
na mtangazaji mahiri Bi. Swaumu Mwasimba wa
radio DW na kipindi cha muziki na utamaduni, Kamanda Ras Makunja
amezungumzia mafanikio na changamoto za muziki wa kiafrika barani
ulaya.pia amezungumizia jinsi muziki wa kiswahili unavyokubalika barani
ulaya.usikose kusikiliza mahojiano hayo katika tuvoti za radio
DW-Kiswahili
No comments:
Post a Comment