UMOJA WA MATAIFA WAFADHILI USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI
Mkakati wa kusambasa katiba inayopendekezwa kwa njia ya sauti unajumuisha utoaji elimu kuhusu mfumo mpya wa kujiandikisha kwa njia ya kielectroniki (BVR) Pamoja na kuhamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi
No comments:
Post a Comment