Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:
"Asante sana @fastjetofficial kwa
kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye
Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora..
Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma
mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa...
credit:swahilitz
No comments:
Post a Comment