Ili
Diamond na Vanessa waweze kushinda, nguvu kubwa inahitajika kutoka kwa
mashabiki kwa kupiga kura kwa wingi sababu ushindi wa mabalozi hawa wa
burudani ni ushindi kwa taifa zima la Tanzania.
Diamond anawania vipengele vitatu ambavyo ni Best Male, Best Collaboration na Best Live.
Upande wa Vanessa anawania kipengele kimoja cha Best Female.
Njia ya kupiga kura ni moja, ingia kwenye website ya http://mama.mtv.com/voting/ na ufate maelekezo rahisi ya jinsi ya kupiga kura.
Support muziki wa nyumbani ili uweze kufika mbali kimataifa.
No comments:
Post a Comment