Hii kali soma ka screenshot chini....
Imeandika "Tanzania Thanx 4 voting but i don want distabance in my acc plz vote Diamond not me Plz"
Davido
msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao
hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa
kumsaidia wema anayelilia maoenzi na kiba anayetaka kupaa.
No comments:
Post a Comment