Sunday, January 18, 2015

DANSA WA DIAMOND PLATZNUMZ AWACHANA LIVE WANAOMFUATA FUATA BABY WAKE SOMA ALICHOSEMA LIVE!!



DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ , Moses
Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama
mpenzi wake , Aunt Ezekiel amemzidi umri , ataendelea
kumpenda hivyohivyo .
Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati , Iyobo .
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye
kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29 , hawajui tu mapenzi
hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za
kuhesabika .
“Age is just a number , mimi sioni tatizo kuwa na Aunt .
Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu.
Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli
yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika , ”
alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23 .

No comments:

Post a Comment