Amani!
Wakati mumewe Sunday Demonte akidaiwa kuwa yuko mbioni kuhukumiwa
kwenda jela huko Dubai, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson
amenaswa laivu kimahaba nchini Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga.Staa
wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson amenaswa laivu kimahaba nchini
Marekani akiwa na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Kassim Mganga.
Wakati anaondoka nchini hivi karibuni, Aunt
alionekana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar, akiwa na mwanaume ambaye anadaiwa kuwa ni mume wa mtu, Moses Iyobo
‘Moze’.Baada ya habari hiyo kuripotiwa na gazeti tumbo moja na hili,
Ijumaa Wikienda, Septemba 15, mwakahuu, ilidaiwa kwamba ndugu wa mumewe,
Sunday hawakufurahishwa na kitendo hicho.
No comments:
Post a Comment