Thursday, July 31, 2014
DIAMOND:HII NDIO SUPRISE NILIYOKUTANA NAYO NILIPOWASILI NYUMBANI TANZANIA JANA USIKU
Nikwa mda mlefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan,na jana ndiyo siku niliyorudi,kiukweli sikutegemea kukutna na nilichokikuta,umati mkubwa wa watu wakliokuwa wamejitokeza kunipokea,kiukweli imenipa faraja sana ,kuona ji kias gani Watanzania wenzangu ,wamekuwa na uzarendo kwangu kiasi hiki,nawashukuru wote walioacha kazi zao,ama kuvunja ratiba zao,na kuja airport kunipokea,Ahsanteni na ninawapenda daima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment