Thursday, July 31, 2014

Christiano Ronaldo aungana na Lil Wayne, baada ya Wyane kuanzisha kampuni ya usimamizi wa michezo



Cristiano Ronaldo karibuni atakuwa  YOUNG MONEY CASH MONEY BILLIONAIRE ... kwasababu vyanzo vya habari vimeiambia TMZ sports kuwa Lil Wayne anaanzisha kampuni yake mwenyewe itakayo kuwa iki manage sports na Roonald ndo atakae kuwa mteja wake wa kwanza. 

 Chanzo hicho cha habari kinadaikuwa Weezy kitambo amekuwa akitaka kujiingiza katika game ya sports management na macho yake yote yalikuwa kwa mkali kutoka portugak Cristiano Ronaldo na si tu kwasababu ni nyota mkubwa katika michezo lakini pia ni kwasababu ni marafiki wakaribu tu.

No comments:

Post a Comment