Thursday, May 7, 2015

Kiasi kilichopatikana katika Zari all white party ni hiki

RIPORT YA ZARI ALL WHITE PARTY
Tiket za elfu hamsini zimenunuliwa 1200
1200×50000

Za laki moja zimeuzwa 700
700×100000

Za milioni moja zimeuzwa 300
300×1000000

Za milioni tatu zimeuzwa 200
200×3000000

Walionunua code za online ni zaidi ya laki mbili
3000×200000

Jumla wamehudhulia watu zaid ya 3000 na complimentary zilitolewa 750

JUMLA
ZARI ALL WHITE PARTY IMEINGIZA
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA NANE ,
Hii ni rough figure.......
1,800,000,000 per nite

No comments:

Post a Comment