Tuesday, March 31, 2015

Sababu ya Rihanna kuwa Single.

Kwenye mahojiano aliyofanyiwa hivi karibu Rihanna amekanusha kuwa na mahusiano na star wa Titanic Leonardo Dicaprio na kusema ” ratiba yake inambana sana muda huu kuwa kwenye mahusiano yeyote au kuwa na mtuRiri aliendelea kusema “usiamini blogs zitaharibu mambo yako ” .
Rihanna anasema mwanaume atakaye weza kuwa naye kwa sasa lazima aelewe ratiba yake na aweze kuishi naye kwenye maisha hayo

No comments:

Post a Comment