Siku chache zilizopita Diamond aliamua kuweka picha za nyumba yake mpya
aliyohamia na wengi walimpongeza kwa kujenga nyumba ya kifahari kama
hiyo. Mpya zilizotufikia leo ni kuhusu kuanguka kwa ukuta wa mbele wa
nyumba yake.
Baada ya watu wengi kuiona picha hiyo mtandaoni wengi waliihusisha na
ushirikina wakiamini kua maadui wa Diamond watakua wamefanya fitna hadi
ukuta huo kuanguka. Huku wengine wakisema kua hakuna ushirikina bali ni
kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa sasa jijini Dar.
No comments:
Post a Comment