Davido, Tiwa Savage na Ice Prince wahojiwa na kipindi cha TV cha P Diddy
mshindi wa tuzo za BET "International Act" Africa, Davido na nominee
Tiwa Savage leo hii wamehojiwa na kipindi cha TV cha network ya P Diddy
"Revolt
Katika interview hiyo, mkali wa hit ya "Aye" ameonekana akiwa katika
kofia pamoja na tshirt ya leather, jeans ya denim na cheni kibao za gold
wakati Tiwa akiwa ametupia kigauni cha pink na viatu virefu vya neon,Christian Louboutin.
No comments:
Post a Comment