VIDEO
Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika
Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi
wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo ambapo ndipo
atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania atakuwa anakuja
kutembea tu.
Video Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’.“Nimeamua hivyo kwani nahisi hukundiy o maisha yangu yalipo na mipango mingi ya kimaisha nafanikiwa ninapokuwahuku,” alisema Masogange.
No comments:
Post a Comment