Friday, May 9, 2014

KITU CHA KWANZA ALICHOULIZWA DIAMOND PLATNUMZ NA RAISI BAADA YA KUONANA......SOMA ZAIDI




Kitu cha kwanza kabisa nlivyokutana na Mh: Rais aliniuliza "vipi MTV mambo yanaendaje"... nikamwambia mambo yanaenda vizuri, na kiukweli watu wanapiga sana kura nnaimani mwaka huu Tutaileta heshima East Africa.... akajibu "Nitafurahi sana, na usisite kuniambia ukihitaji msaada wowote"...Tafadhari ndugu zangu, tuzidi kupiga kura kwa wingi ili tuweze kufanikisha kuzitwaa tunzo hizo za MTV MAMA AWARDS na kuzileta nyumbani....!!! kwani wao Waweze wananini??? BONYEZA hapa Kunipigia kura kama msanii Bora wa Kiume Africa
http://t.co/5bk5NKrHd9
Na hapa kwa kuiwezesha Number one remix ft Davido kuwa Collable Bora Africa
http://pixelperfection.co.za/2014-mama/vote-best-collaboration.html

No comments:

Post a Comment