Wednesday, March 19, 2014

LL WAYNE AONGELEA TOFAUTI YA "THE CARTER V" NA ALBUM ZAKE ZILIZOPITA




LIL WAYNE  amezungumzia ujio wa album yake mpya
kupitia MTV. Amesema kazi hiyo itakuwa bora zaidi kuliko kazi zake
zilizopita (solo project).

No comments:

Post a Comment