Wednesday, October 23, 2013

MEDA CLASSIC AKIWA KWENYE JUKWAA LA MTIKISIKO


  MEDA CLASSIC  MSANII ANAE KUJA VIZURI KATIKA GAME YA MUZIKI KUPITIA NGOMA ZAKE AMBAZO AMEZIFANYA

IKIWEMO SIOI TENA ALIOIFANYA NA MECCO KUTOKA I TOWN (IRINGA).
PIA NGOMA NYINGINE INAYOITWA SALARY AMBAYO AMEIFANYA MAZUU RECORD NA PRODUCER MAZUU.

1 comment: